ALAMOELECTRONICS
Bidhaa Bora. Bei rafiki. Delivery nchi nzima
Bidhaa zinazoonekana kwenye website ni halisi na zinapatikana ofisini Sinza mori, Dar es Salaam. Tunauza jumla na reja reja.
🚚 Fast Delivery | 🛡️ Warranty | 💵 Lipa Unapopokea.
🔥BestSellers

3 In 1 Vacuum Cleaner
Fanya Usafi kirahisi bila kupinda wala kuumiza mgongo.
Tzs 185,000
Conch The Sound
25Watts, 2 in 1 wireless charger + Home / Office Speaker.
Tzs 150,000

5 In 1 Hybrid Powerbank
Kifaa kimoja chenye Wireless Powerbank, Phone Charger, Phone holder, Multiple charger, AC/DC.
Tzs 95,000
Wireless Powerbank
Wireless, magnetic, powerbank. Ready on the go gadget
Tzs 65,000

Earbuds With Powerbank
Mziki mnene alongside with 8000mAh powerbank to powerup your phone.
Tzs 95,000
Earbuds With Display
Portable, Good sound, na display kali ya ku - control buds na simu
Tzs 65,000

AI Ear Nose Mate
Safisha masikio, na punguza nywele za puani kwa usalama bila hatari.
Tzs 50,000
Smart Speaker
Portable, Good sound, na display kali ya ina connect na simu kupitia app
Tzs 95,000

Hybrid Fan
Umeme ukikatika hakuna matata, hii feni inakupa backup ya umeme mpaka masaa sita
Tzs 200,000
Table Lamp
Solar powered na Inachaji kwa umeme na kuhakikisha hutokaa giza kwa masaa mpaka 72
Tzs 65,000

Emergency Car Kit
Boost gari bila gari jingine, jaza upepepo na chaji simu, hii ni muhimu kama kuwa na break kwenye gari
Tzs 170,000
3 In 1 Electric Jack
Badilisha tairi kwa muda mfupi sana, utafungua nati, utanyanyua gari, na kujaza upepo hapo hapo kwa kubofya buttons tu.
Tzs 350,000

5 IN 1 HYBRID POWERBANK
SPECIFICATIONS
-Unachaji simu na powerbank kwa pamoja🔄
-10,000mAh , 22.5W Fast Charging
-Wireless + Cable – chaji device nyingi kwa pamoja
-Built-in Phone Holder – portrait & landscape, ideal kwa video na kazi
-Plug-in design – unachomeka moja kwa moja kwenye umeme
-Ni charger + powerbank + stand + wireless hub… yote ndani ya kifaa kimoja.
Tzs 95,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
SMART SPEAKER
SPECIFICATIONS
• Muziki wa nguvu
• Touch display
• Saa na Alamu
• Kalenda & Calculator
• Inaonyesha Battery Life
• Material: Metallic body
• Inafaa kwa indoor na outdoor activities
• Strong Battery
Tzs 95,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
WIRELESS POWERBANK
SPECIFICATIONS
• Magnetic, wireless
• Inatumia USB pia
• Watt 22.5 ( Fast charge )
• 10,000mAh Inatosha kujaza simu mbili hadi tatu kubwa
• Nyembamba na portable
• Ni lazima simu iwe ina-support wireless pia
Tzs 65,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
EARBUDS & 8,000mAh POWERBANK
SPECIFICATIONS
• powerbank 8,000mAh
• Active Noise Cancellation (ANC)
• Touch Screen
• Piga, pokea na soma notifications
• Ina find my phone & find my earbuds
• Ina Selfie remote, call history and show contacts
Tzs 95,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
SCREEN EARBUD
SPECIFICATIONS
• Touch Screen
• Camera remote
• Control social medias, Scroll & like.
• Find my earbuds.
Tzs 65,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
TABLE LAMP
SPECIFICATIONS
• Inachaji kwa solar na umeme
• Inatunza sana chaji
• Inachaji simu, redio n.k.
• Ina mwanga Mzuri usioumiza macho hata kusomea..
Tzs 65,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
3 IN 1 ELECTRIC JACK
SPECIFICATIONS
• Jeki ya umeme inabeba mpaka gari ya tone 5
• Inajaza na kupima upepo
• Ina spana ya umeme ya kufungulia tairi.
• Ina Tochi kwa nyakati za usiku.Kubadilisha tairi hakujawahi kuwa rahisi kiasi hiki ukitumia hiki kifaa.
Tzs 350,000
🚚 Fast Delivery + Mikoani | 💵 Lipa Unapopokea.
CONCH THE SOUND
SPECIFICATIONS
• Wireless charger 25 Watt
• Inachaji na smartwatch na Earpods zinazo support wireless
• Ina spika yenye sauti nzuri na bass.
• Ina uwezo waa ku connect two speakers LEFT & RIGHT.
Tzs 150,000/- & Tzs 250,000/- kwa both Left & Right
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.
AI EAR NOSE MATE
SPECIFICATIONS
• Inaunganishwa na simu kupitia app kisha kuona kupitia screen ya simu
• Ina tunza sana chaji mpaka dakika 90
• Ina punguza nywele za pua na kuacha urefu salama.
Tzs 50,000
🚚 Delivery haraka na uhakika, mikoani 10,000/= inatangulia kama pesa ya usafiri na Malipo💵 kamili ya bidhaa ni unapopokea mzigo kwenye ofisi ya bus.